Congo DRC yathibitisha kisa cha kwanza cha virusi vya Corona

Kisa cha kwanza cha virusi vya Corona kimethibitishwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Msemaji wa wizara ya Afya amesema Jumanne.

Mgonjwa huyo ni raia wa Ubelgiji ambaye alikuwa amewekwa karantini baada uchunguzi aliofanyiwa katika uwanja wa ndege wa Kinshasa kubaini kuwa ameambukizwa virusi hivyo.

Comments

Popular posts from this blog

Rais wa Marekani Donald Trump na Makamu Wake Huenda Wakapimwa Tena Corona Baada ya Mtumishi Mwingine Wa IKULU Kukutwa na Virusi Vya Corona

Mchezo wa Kwanza Wapigwa Marekani Bila Mashabiki

Mji mkuu wa Korea Kusini wafunga kumbi za starehe kwa hofu ya Corona