Chama amuangukia Fei Toto


Mchezaji wa Simba SC Clotous Chama amemuomba radhi mchezaji wa Yanga SC Feisal Salum kwa kumchezea rafu ya makusudi ambayo ingeweza kumtia jeraha kubwa katika mchezo wa derby jana.

Chama amekiri kitendo hicho hakikuwa cha kiungwana Simba ikipoteza 1-0.

“Nina huzuni tumepoteza lakini nataka niwahakikishie kwamba kilichotokea kati yangu na Feisal kilikuwa ni binafsi walasio kwa shinikizo la matokeo ya derby, binafsi nimeongea na Feisal na amekubali msamaha wangu”amesema Chama

Comments

Popular posts from this blog

Rais wa Marekani Donald Trump na Makamu Wake Huenda Wakapimwa Tena Corona Baada ya Mtumishi Mwingine Wa IKULU Kukutwa na Virusi Vya Corona

Mchezo wa Kwanza Wapigwa Marekani Bila Mashabiki

Mji mkuu wa Korea Kusini wafunga kumbi za starehe kwa hofu ya Corona